Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MAKATIBU WAKUU WAKUTANA KUJADILI MASUALA YA LISHE


Naibu Katibu Mkuu OR-TAMISEMI anayeshughulikia masuala ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe Dkt. Wilson Charles Mahela ameongoza kikao cha Makatibu Wakuu  kwa lengo la kupitia andiko la Lishe kwa ajili ya mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kilichofanyika Tarehe 08, Februari 2024 katika Ukumbi wa ofisi hiyo Jijini Dodoma.



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com