Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa Shinyanga, Emmanuel Ntobi anatarajia kutetea nafasi yake ya Uenyekiti wa Chadema Mkoa Shinyanga kwenye uchaguzi wa CHADEMA ambao unatarajiwa kufanyika Machi 26, 2024.
Ntobi ambaye aliwahi kuwa Diwani wa Ngokolo, Manispaa ya Shinyanga na Mwenyekiti wa Madiwani Kanda ya Serengeti CHADEMA anasema amejipima, amejitathimini, ameona anatosha.
Amesema kutokana na maombi mengi ya wanachama wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga amekubali kuendelea kuongoza Mkoa huo kwa miaka mingine mitano.
Social Plugin