RATIBA YA KUAGA MWILI WA HAYATI ALI HASSAN MWINYI, RAIS MSTAAFU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
UWANJA WA UHURU - DAR ES SALAAM
IJUMAA TAREHE 01 MACHI, 2024
Muda | Tukio | Mhusika |
Saa 06.00 - 06.40 Mchana | Mwili wa Hayati kutoka Nyumbani, Mikocheni na kuwasili Msikiti Mkuu wa Bakwata – (Mfalme Mohamed IV), Kinondoni | Kamati ya mazishi ya Kitaifa
|
Saa 06.40 – 07. 30 Mchana | Swala | Kamati ya mazishi Kitaifa
|
Saa 07.30 – 08. 10 Mchana
| Mwili wa Hayati kuondoka Msikitini, Kinondoni na kuwasili Uwanja wa Uhuru | Kamati ya mazishi Kitaifa
|
Saa 08.10 – 08. 30 Mchana
| Dua na Sala | Kamati ya mazishi Kitaifa
|
Saa 08.30 – 09. 00 Mchana
| Viongozi kutoa salamu za rambirambi | · Mhe. Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam · Mhe. Jenista Mhagama (Mb), Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - SBU · Mhe. Joseph Sinde Warioba, Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu
|
Saa 09.00 – 09. 30 Mchana
| Viongozi kutoa heshima za Mwisho | Kamati ya mazishi Kitaifa
|
Saa 09.30 – 11.00 Jioni | Wananchi kutoa heshima za mwisho | Kamati ya Mazishi Kitaifa
|
Saa 11.00 – 11.30 Jioni | Mwili wa Hayati kuondoka Uwanja wa Uhuru na kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere | Kamati ya mazishi Kitaifa
|
Saa 11.30 – 12.00 Jioni
| Mwili wa Hayati kuruka na Ndege kwenda Zanzibar | Kamati ya mazishi Kitaifa
|
Saa 12.00 – 12.30 Jioni
| Mwili wa Hayati Kuwasili Zanzibar | Kamati ya mazishi Kitaifa
|
Saa 12.30 – 01.00 Jioni
| Mwili wa Hayati Dkt. Ali Hassan Mwinyi kuwasili Nyumbani Bweleo | Kamati ya mazishi Kitaifa
|
Saa 01.00 – 04.00 Usiku
| Maombolezo | Familia |
RATIBA YA MSIBA WA HAYATI ALI HASSAN MWINYI, RAIS MSTAAFU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
UWANJA WA AMANI, ZANZIBAR
JUMAMOSI, TAREHE 02 MACHI, 2024
Muda | Tukio | Mhusika |
Saa 01.00 - 02.00 Asubuhi | Mwili wa Hayati kuondoka nyumbani na Kwenda Msikiti wa Qaboss
| Kamati ya mazishi Kitaifa |
Saa 2.00 - 02.30 Asubuhi | Viongozi mbalimbali kuwasili | Kamati ya Mazishi Kitaifa |
Saa 2.00 – 02.30 Asubuhi | Swala
| Kamati ya Mazishi Kitaifa |
Saa 02.30 - 03.00 Asubuhi | Mwili wa Hayati kuondoka Msikiti na kuwasili Uwanja wa Amani | Kamati ya Mazishi Kitaifa |
Saa 03.00 - 03.20 Asubuhi
| Dua | Kamati ya Mazishi Kitaifa |
Saa 03.20 - 07.00 Mchana
| Wananchi kutoa heshima za Mwisho | Kamati ya Mazishi Kitaifa |
Saa 07.00 - 07.20 Mchana | Dua | Kamati ya Mazishi Kitaifa |
Saa 07.20 - 07.50 Mchana | Viongozi kutoa salamu za rambirambi |
|
Saa 07.50 - 08.00 Mchana | Salamu za familia | Kamati ya Mazishi Kitaifa |
Saa 08.00 - 08.10 Mchana | Salamu za Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Mazishi na Kumkaribisha Mheshimiwa Rais kutoa salamu za pole | Mhe. Kassim M. Majaliwa (Mb), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Mazishi |
Saa 08.10 - 08.40 Mchana | Salamu za Viongozi Wakuu wa Nchi |
|
Saa 08.40 - 09.10 Mchana | Viongozi kutoa heshima za Mwisho | Kamati ya Mazishi Kitaifa |
Saa 09.10 - 09.30 Mchana
| Mwili wa Hayati kuondoka Uwanja wa Amani na kuwasili Mangapwani | Kamati ya Mazishi Kitaifa |
Saa 09.30 - 09.40 Mchana | · Wimbo wa Taifa · Wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki |
JWTZ Brass band |
Saa 09.40 – 10.00 Jioni | Mazishi ya Kiserikali | Kamati ya mazishi ya Kitaifa
|
Saa 10.00 – 10.20 Jioni | Mazishi ya Kidini | · Kamati ya mazishi ya Kitaifa · Familia |
Saa 10.20 – 10. 30 Jioni | Wasifu wa Hayati Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania | Bw. Juma Mkomi, Katibu Mkuu – UTUMISHI |
Saa 10.30 – 11.00 Jioni
| Viongozi mbalimbali na wananchi kuondoka eneo la msiba | Kamati ya mazishi Kitaifa
|
Saa 11.00 Jioni
| MWISHO |
|
Social Plugin