Gari la mafuta limepinduka katika eneo la Kagongwa wilayani Kahama Mkoani Shinyanga.
Ajali hiyo imetokea leo Jumapili Aprili 2024 ambapo lori hilo limepinduka karibu na mashine za mpunga Kagongwa.
Askari polisi wamefanikiwa kuzuia wananchi kuiba mafuta na Jeshi la zima moto na uokoaji limefika eneo la tukio.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin