Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza wakati wa hotuba ya ufunguzi wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere, lililofanyika Jumatatu Aprili 8, 2024 katika Ukumbi wa Utamaduni wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Kigamboni, Dar Es Salaam, ambalo lilijumuisha watu mbalimbali, ambapo kabla ya hapo, alitembelea mabanda na kujionea maonesho ya ubunifu katika masuala mbalimbali unaofanywa na wanafunzi wa chuo hicho.
Social Plugin