Mr. Manguruwe akinunua matunda ya akina mama Arusha
Mr. Manguruwe ambaye ni mwanzilishi wa mradi mkubwa wa ufugaji wa nguruwe Mkoani Dodoma amefanya jambo la kiutofauti katika mtaa wa Sekei Mkoani Arusha ambapo wakina Mama wote waliokuwa wanatembeza bidhaa kichwani wamejikuta wakirejea nyumbani baada ya Mfugaji huyo kununua bidhaa zao zote (ndizi na maparachichi) na kuwagawia bure watu wengine.
Wafanyabiashara hao wameonesha kufurahia jambo hilo ambapo wamemsifu na kumpongeza Mr. Manguruwe huku wakisema hiyo ni zaidi ya Sadaka.
@malundeblog Mr Manguruwe aibua shangwe kwa akina mama wauza matunda Arusha! Anunua matunda yote!
♬ original sound - Malunde
Social Plugin