Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akizungumza wakati akifungua Maadhimisho ya Siku ya Vyombo vya Habari ‘Media Day’ Mkoa wa Shinyanga yaliyofanyika leo Jumatano Mei 15,2024 katika ukumbi wa Karena Hotel Mjini Shinyanga yakiongozwa na Kauli mbiu ‘Uandishi wa habari na changamoto za kimazingira’ - Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga, Greyson Kakuru akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Vyombo vya Habari ‘Media Day’ Mkoa wa Shinyanga yaliyofanyika leo Jumatano Mei 15,2024 katika ukumbi wa Karena Hotel Mjini Shinyanga yakiongozwa na Kauli mbiu ‘Uandishi wa habari na changamoto za kimazingira’
Social Plugin