Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda kesho Jumanne, Mei 07, 2024 anatarajiwa kuwasilisha Bajeti ya Wizara ya Elimu kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025.
Hotuba yake itajumuisha utekelezaji na mafanikio yaliyopatikana kwenye Sekta ya Elimu kupitia Bajeti ya Elimu kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 pamoja na Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
#ElimuUjuziNdioMwelekeo
Social Plugin