Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

UDAHILI VYUO VYA ELIMU YA UFUNDI UMEONGEZEKA


Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda akiwasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa Mwaka 2024/2025.
**

"Serikali imeongeza udahili katika vyuo vya elimu ya ufundi kutoka wanafunzi 171,581 mwaka 2022/23 hadi wanafunzi 235,804 mwaka 2023/24, ongezeko hili linatokana na kuongezeka kwa idadi ya vyuo vya elimu ya ufundi kutoka vyuo 465 (visivyo vya serikali 285) mwaka 2022/23 hadi vyuo 474 (visivyo vya serikali 294) mwaka 2023/24," - Prof Adolf Mkenda, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com