Msanii maarufu wa Nyimbo za Asili Ng'wana Kang'wa amekuwa Msanii wa Kwanza Tanzania anayefanya Muziki wa Asili kupewa Ubalozi wa Kutangaza Vinywaji Vipya (Bia) maarufu Goldberg na Hanson's Lite zinazotengenezwa na Kampuni ya Uzalishaji Vinywaji Vikali ya East African Spirits (T) Limited (EASTL) Shinyanga ambayo pia inatengeneza vinywaji vya Diamond Rock na Hanson's Choice!
Ng'wana Kang'wa 'Ambassador wa Goldberg na Hanson's Lite beer' Kutoka kampuni East African Spirits' pia anakuwa Msanii wa Kwanza nchini Tanzania kupewa shavu la kutangaza bia za Goldberg na Hanson's Lite ambazo zimepokelewa kwa kishindo na wadau zikiwa ni bia za kipekee zenye ladha ya kipekee sana!!
Social Plugin