Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Video Mpya : NG'WANA KANG'WA - NALHI NSUKUMA.... NGOMA KALI ZAIDI 2024

Ng'wana Kang'wa

Msanii maarufu wa Nyimbo za asili Ng'wana Kang'wa ameachia video ya wimbo wake mpya unaitwa Nalhi Nsukuma! Katika wimbo huu Ng'wana Kang'wa anajisifu yeye ni Msukuma anayefuata tamaduni za Kisukuma! Hakika huu ni wimbo bora sana kwa mwaka 2024!

Tazama Video hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com