SAVANNAH PLAINS SECONDARY SCHOOL YATANGAZA NAFASI ZA MASOMO!


Shule ya sekondari Savannah Plains imetangaza nafasi za kuhamia kidato cha 1, 3, 5 na 6 kuanzia Julai 2024.

 Shule ina vipaumbele vyake kama vile nidhamu nzuri, taaluma, afya,lishe, malezi na mazingira bora kwa mwanafunzi.

Shule ya Sekondari Savannah Plains ni miongoni wa shule zinazofanya vizuri. Shule hii ya bweni ipo Ibadakuli katika Manispaa ya Shinyanga mkabala na barabara kuu ya Shinyanga – Mwanza.

Kulingana na uzoefu wa uongozi katika shule hiyo,uhamisho wa mwanafunzi kutoka shule anayohama utashughulikiwa na uongozi wa Savannah Plains.

Wazazi na walezi na hata wadau mabalimbali wa Elimu wanakaribishwa sana Savannah Plains , ada ni nafuu na inalipwa kwa awamu nne ndani ya mwaka mmoja.

Michepuo inayotolewa Savannah Plains High School ni PCM,PCB, PGM, HGE, EGM, HGL,HGK, HKL na ECA.

Kwa Mawasiliano zaidi +255 742 555 550 au 0764994711 au  0743919187 au 0742919198




Soma pia kuhusu SAVANNAH PLAINS

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post