Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Picha : MDAHALO WA KITAIFA KUJADILI MADHARA YA DAWA ZA KULEVYA WAFANYIKA JIJINI MWANZA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza kwenye Mdahalo wa Kitaifa Kujadili Madhara ya Dawa za Kulevya uliofanyika leo Jumamosi Juni 29,2024 katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.

Mdahalo  huo wa Kitaifa uliolenga kujadili kuhusu jitihada mbalimbali za wadau na Serikali katika kupambana na matumizi na usafirishaji wa dawa za kulevya.ambao ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za kulevya kitaifa mwaka 2024 umehudhuriwa na wadau mbalimbali ikiwemo Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) na shirika la Tanzania Health Promotion Support (THPS) ambalo limekuwa likishirikiana Serikali na wadau mbalimbali katika kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa kuwekeza katika huduma ya tiba kwa waraibu wa dawa za kulevya (MAT).

Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza kwenye Mdahalo wa Kitaifa Kujadili Madhara ya Dawa za Kulevya uliofanyika leo Jumamosi Juni 29,2024 katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza kwenye Mdahalo wa Kitaifa Kujadili Madhara ya Dawa za Kulevya uliofanyika leo Jumamosi Juni 29,2024 katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza kwenye Mdahalo wa Kitaifa Kujadili Madhara ya Dawa za Kulevya uliofanyika leo Jumamosi Juni 29,2024 katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza kwenye Mdahalo wa Kitaifa Kujadili Madhara ya Dawa za Kulevya uliofanyika leo Jumamosi Juni 29,2024 katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda akizungumza kwenye Mdahalo wa Kitaifa Kujadili Madhara ya Dawa za Kulevya uliofanyika leo Jumamosi Juni 29,2024 katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.

Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo akizungumza kwenye Mdahalo wa Kitaifa Kujadili Madhara ya Dawa za Kulevya uliofanyika leo Jumamosi Juni 29,2024 katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.

Kamishna wa Kinga na Tiba Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Nchini (DCEA) Dkt. Peter Mfisi akizungumza kwenye Mdahalo wa Kitaifa Kujadili Madhara ya Dawa za Kulevya uliofanyika leo Jumamosi Juni 29,2024 katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.

Mkurugenzi wa Tanzania Network For People Who Use Drugs (TaNPUD), Juma Nkwame  akizungumza kwenye Mdahalo wa Kitaifa Kujadili Madhara ya Dawa za Kulevya uliofanyika leo Jumamosi Juni 29,2024 katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.

Afisa Mradi wa THPS anayeshughulikia Huduma za MAT katika Mkoa wa Pwani, Dkt. Joshua Mharagi akielezea namna wanavyotoa huduma ya tiba kwa waraibu wa dawa za kulevya (MAT)
kwenye Mdahalo wa Kitaifa Kujadili Madhara ya Dawa za Kulevya uliofanyika leo Jumamosi Juni 29,2024 katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com