Na Mwandishi wetu.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi ameongoza kikao cha 12 cha Kamati ya Ushauri ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 kilichohusu Kujadili Taarifa ya Maendeleo ya Utekelezaji wa Awamu ya Tatu na ya Mwisho ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022.
Taarifa hii ni ya kipindi cha Desemba, 2023 hadi Mei, 2024. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Julius Nyerere Interational Covention Centre (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Juni, 2024
Dkt. Albina Chuwa, Mtendaji Mkuu Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) akiwa kwenye kikao cha 12 cha Kamati ya Ushauri ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022. |
Baadhi ya washiriki wa kikao cha 12 cha Kamati ya Ushauri ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022. |
Social Plugin