Kazi ya matengenezo ya bomba la inchi 6 ikitekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) - katika Wilaya ya Temeke eneo la kiwanda cha samaki Kipawa.
Kazi hiyo imetekelezwa kwa lengo la kuboresha upatikanaji wa Maji kwa Wananchi wa Kiwalani na eneo la Kiwanda cha Pepsi.
Matengenezo hayo ni sehemu ya jitihada za DAWASA za kuhakikisha upatikanaji wa huduma ya maji unaendelea kuimarika katika eneo lake la kihuduma.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin