MRAJIS wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Dkt. Benson Ndiege,akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mfumo wa Tehama wa Sccult (1992) LTD kwa ajili ya Uendeshaji na Utoaji Huduma za Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS) hafla iliyofanyika leo Juni 21,2024 jijini Dodoma.
MRAJIS wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Dkt. Benson Ndiege,akisisitiza jambo wakati wa uzinduzi wa Mfumo wa Tehama wa Sccult (1992) LTD kwa ajili ya Uendeshaji na Utoaji Huduma za Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS) hafla iliyofanyika leo Juni 21,2024 jijini Dodoma.
NAIBU Mrajis wa Vyama vya Ushirika - Udhibiti, Collins Nyakunga,,akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mfumo wa Tehama wa Sccult (1992) LTD kwa ajili ya Uendeshaji na Utoaji Huduma za Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS) hafla iliyofanyika leo Juni 21,2024 jijini Dodoma.
KATIBU Mtendaji SCCULT (1992) LTD Hassan Mnyone (ADE) ,akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mfumo wa Tehama wa Sccult (1992) LTD kwa ajili ya Uendeshaji na Utoaji Huduma za Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS) hafla iliyofanyika leo Juni 21,2024 jijini Dodoma.
BAADHI ya Washiriki wakimsikliza Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Dkt. Benson Ndiege (hayupo pichani), wakati wa uzinduzi wa Mfumo wa Tehama wa Sccult (1992) LTD kwa ajili ya Uendeshaji na Utoaji Huduma za Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS) hafla iliyofanyika leo Juni 21,2024 jijini Dodoma.
MRAJIS wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Dkt. Benson Ndiege,akipiga makofi mara baada ya kuzindua Mfumo wa Tehama wa Sccult (1992) LTD kwa ajili ya Uendeshaji na Utoaji Huduma za Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS) hafla iliyofanyika leo Juni 21,2024 jijini Dodoma.
MRAJIS wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Dkt. Benson Ndiege,akipata maelezo mara baada ya kuzindua Mfumo wa Tehama wa Sccult (1992) LTD kwa ajili ya Uendeshaji na Utoaji Huduma za Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS) hafla iliyofanyika leo Juni 21,2024 jijini Dodoma.
MRAJIS wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Dkt. Benson Ndiege,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuzindua Mfumo wa Tehama wa Sccult (1992) LTD kwa ajili ya Uendeshaji na Utoaji Huduma za Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS) hafla iliyofanyika leo Juni 21,2024 jijini Dodoma.
Social Plugin