Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

NAIBU WAZIRI KIKWETE ATEMBELEA BANDA LA FCC MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

 

 

 

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete,akipewa elimu na Maafisa wa Tume ya Ushindani (FCC) alipotembelea banda la FCC wakati wa Maonesho ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea kufanyika hadi tarehe 23 June, 2024 katika uwanja wa Chinangali park Dodoma.

Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya ushindani (FCC) Bw. Wiliam Erio,akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea  banda la FCC ili kujiridhisha na utendaji kazi wa Maafisa wa FCC wakati wa Maonesho ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea kufanyika hadi tarehe 23 June, 2024 katika Uwanja wa Chinangali Park, Dodoma.

Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya ushindani (FCC) Bw. Wiliam Erio ametembelea banda la FCC ili kujiridhisha na utendaji kazi wa Maafisa wa FCC wakati wa Maonesho ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea kufanyika hadi tarehe 23 June, 2024 katika Uwanja wa Chinangali Park, Dodoma.

Maafisa wa FCC wakitoa elimu kwa wadau waliotembelea banda la FCC, katika maonesho ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea kufanyika hadi tarehe 23 Juni, 2024 katika uwanja wa Chinangali Park, Dodoma.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com