Afisa Uanachama wa NHIF Mkoa wa Tanga kushoto akitoa elimu kwa diwani wa Kata ya Usagara Jijini Tanga wakati alipofika kwenye Banda lao
Na Oscar Assenga, TANGA
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya Tanzania (NHIF) Mkoani umeshirikia maonyesho ya 11 ya Biashara na Utalii yanayoendelea kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari Usagara ili kutoa elimu kuhusu huduma wanazotoa ikiwemo vifurushi wanavyovitoa.
Banda la Mfuko huo limekuwa lililopo kwenye maonyesho hayo
limekuwa ni kivutio kwa wananchi ambao wamefika kupima afya zao na kupata
ushauri namna ya kuepukana na magonjwa yasiyoyakuambikizana.
Pia wananchi hao wamekwenda kwa ajili ya kuona namna ya kujiunga
na vifurushi mbalimbali vinavyotolewa na mfuko huo ili kuweza kunufaika na
matibabu bure pindi wanapougua.
Social Plugin