WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene,akisoma moja ya kipeperushi chenye ujumbe kuhusu EWURA wakati alipotembelea banda la EWURA wakati wa Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika katika Viwanja vya Chinangali jijini Dodoma.
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene,akikaribishwa kwenye banda la Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika katika Viwanja vya Chinangali jijini Dodoma.
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene,akisalimiana na Meneja Mawasiliano na Uhusiano EWURA Bw.Titus Kagua,alipotembelea banda la EWURA wakati wa Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika katika Viwanja vya Chinangali jijini Dodoma.
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene,akisalimiana na Meneja Rasilimali Watu na Utawala EWURA Bw.George Seni ,alipotembelea banda la EWURA wakati wa Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika katika Viwanja vya Chinangali jijini Dodoma.
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene,akisaini kitabu cha wageni kwenye banda la EWURA mara baada ya kutembelea banda hilo wakati wa Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika katika Viwanja vya Chinangali jijini Dodoma.
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene,akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mawasiliano na Uhusiano EWURA Bw.Titus Kagua,alipotembelea banda la EWURA wakati wa Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika katika Viwanja vya Chinangali jijini Dodoma.
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene,akisoma moja ya kipeperushi chenye ujumbe kuhusu EWURA wakati alipotembelea banda la EWURA wakati wa Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika katika Viwanja vya Chinangali jijini Dodoma.
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene,akimpongeza Meneja Mawasiliano na Uhusiano EWURA Bw.Titus Kagua,kwa kazi kubwa inayofanywa na EWURA mara baada ya kutembelea banda la EWURA wakati wa Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika katika Viwanja vya Chinangali jijini Dodoma.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete,akipokea Mfuko wa EWURA kutoka kwa Meneja Mawasiliano na Uhusiano EWURA Bw.Titus Kagua,alipotembelea banda la EWURA wakati wa Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika katika Viwanja vya Chinangali jijini Dodoma.
Social Plugin