Mfanyabiashara maarufu wa Nguruwe nchini Tanzania MR MANGURUWE ametangaza kuwachinja na kuwanywa Supu Nguruwe wote wa aliyekuwa Mchezaji Kibu Denis aliokuwa amempa kama zawadi baada ya kuisadia timu ya Simba SC kupata matokeo katika msimu uliopita. Maamuzi haya ya MR Manguruwe yamekuja baada ya Mchezaji huyo kuikimbia timu hiyo.
TAZAMA VIDEO HAPA
@malundeblog Mfanyabiashara maarufu wa Nguruwe nchini Tanzania MR MANGURUWE ametangaza kuwachinja na kuwanywa Supu Nguruwe wote wa aliyekuwa Mchezaji Kibu Denis aliokuwa amempa kama zawadi baada ya kuisadia timu ya Simba SC kupata matokeo katika msimu uliopita. Maamuzi haya ya MR Manguruwe yamekuja baada ya Mchezaji huyo kuikimbia timu hiyo.
♬ original sound - Malunde
Social Plugin