Kwa kuyajali maisha na mahitaji yako mteja na mtumiaji wa maji yetu ya Jambo, tumekuboreshea chupa yenye muonekano wa kisasa na bomba sana kuhakikisha unapata maisha kwenye kila tone.
Huu ndio muonekano wenye sura ya maisha maisha mazuri utakao upata pale unapoishika chupa hii lakini pia utapata maisha kutoka katika kila tone la maji yetu ya Jambo.
Jipatie mililita 500 ya maji ya Jambo kwa shilingi 500 na lita 1.6 kwa shilingi 1000 tu.
Endelea kufurahia maisha katika kila tone na maji ya Jambo.
#JamboFoodProducts #JAMUKAYA
Social Plugin