WAZIRI AWESO AWASILI MOROGORO KWA ZIARA YA SIKU MOJA
Tuesday, July 23, 2024
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso leo Jumanne tarehe 23 Julai 2024 amewasili Mkoani Morogoro kwa ziara ya kikazi ya siku moja, ambapo atakagua mitambo ya kusukuma maji Tumbaku, kukagua shughuli za uzalishaji maji Mafiga, kushuhudia utiaji saini mkataba wa uboreshaji wa huduma ya maji - Gairo na kuongea Wananchi.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin