Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

RAIS MSTAAFU DKT. KIKWETE ATEMBELEA BANDA LA TIRDO SABASABA

Rais Mstaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akimsikiliza Afisa Masoko wa Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Tanzania (TIRDO), Burhan Mdoe ambaye alikuwa akitoa maelezo kuhusu TIRDO mara baada kutembelea banda la TIRDO katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere, barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com