UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGAKURA WAANZA KAGERA NA GEITA

Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Dkt. Zakia Mohamed Bakar akishuhudia Mkazi wa Mtaa wa Karyambwa Wilayani Muleba Mkoani Kagera, Bw. Vedastus Manya Nsinde akiboresha taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika kituo cha Shule ya Msingi Rubungo wakati zoezi la uboreshaji wa Daftari ulioanza Agosti 5,2024 Mkoani Kagera. Mikoa ya Kagera na Geita imeanza zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na litaendelea hadi Agosti 11, 2024.(Picha na INEC).

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post