TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA
MITAA WA MWAKA 2024
Limetolewa chini ya Kanuni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
za Mwaka 2024 (Matangazo ya Serikali
Na. 571, 572, 573 na 574 ya mwaka 2024)
Kwa Tangazo hili, Wananchi wote wanaombwa kujitokeza kwa wingi
kujiandikisha, kupiga kura, kugombea na kushiriki katika Uchaguzi huu ili
kupata viongozi bora wa Serikali za Mitaa kwa maendeleo ya nchi yetu.
Kuchukua fomu za kugombea 01 Novemba, 2024,Kuanza kwa kampeni 20 - 26 Novemba,
2024, Siku ya Uchaguzi 27 Novemba, 2024
Social Plugin