Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

AJALI YA BASI LA LBS, HAPPY NATION


Watu watatu wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya Mabasi mawili Happy Nation na LBS Kugongana katika eneo la Ibadakuli Manispaa ya Shinyanga barabara ya Shinyanga - Mwanza Agosti 19,2024

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com