HUU UPENDO WA DR. MANGURUWE NI WA KIMBINGU.... AMLIPIA BW. HARUSI CHUKUCHUKU MAHARI
Thursday, August 08, 2024
Kijana Edward Mfutakamba ambaye wiki iliyopita alifunga Harusi bila mke kwa sababu ya kukosa kumalizia Mahari na kujikuta anafanya maamuzi ya kufanya harusi bila mke kuwepo. Jana aliomba msaada kwa Mfanyabiashara na Mfugaji maarufu DR.MANGURUWE na Leo DR.MANGURUWE @drmanguruwe ameweza kumsaidia msaada huo.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin