NGOKOLO - KOLANDOTO , KASHWASA - MASEKELO KUUMANA NUSU FAINALI DR. SAMIA / KATAMBI CUP - 2024
Wednesday, August 14, 2024
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Mhe. Patrobas Katambi ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu.
MASHINDANO YA DR. SAMIA / KATAMBI CUP - 2024
Hatua ya Nusu Fainali
Ijumaa, Agosti 16, 2024
Ngokolo vs Kolandoto - ShyCom
Jumamosi, Agosti 17, 2024
KASHWASA vs Masekelo - ShyCom
Muda wa kuanza mechi zote za Nusu Fainali ni saa 9:30 Alasiri.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin