Video : MSANII MAGAMBO MACHIMU AWAVUNJA MBAVU WADAU WA MADINI... JAMAA NOMA SANA!!


Msanii Magambo Machimu akitoa burudani wakati Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde  mjini Kahama Jumatatu Agosti 19,2024 alipokabidhiwa ripoti ya Benki ya CRDB katika utekelezaji wa utoaji huduma za fedha kwa wachimbaji wadogo na wa kati kutokana na maelekezo aliyoyatoa mwaka 2023 alipokutana na Wachimbaji wa madini, viongozi wa serikali, wafanyakazi wa Benki ya CRDB na wadau mbalimbali wa sekta ya madini.

Tazama Video hapa chini
 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post