Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

KAMPUNI YA GEKAHIL LTD YAFUNGUA GYM YA KISASA BUGARAMA - KAKOLA ,KAHAMA



Kampuni ya Gekail Inter - Trade LTD iliyopo Halmashauri ya Msalala Wilayani Kahama Mkoani Shinyinga Imefungua Gym ya Kisasa Kata ya Bugarama Karibu na Kituo cha Afya cha Bugarama Kakola , Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama Mkoani Shinyanga.

Ina vifaa vya kisasa vya kufanyia mazoezi huku ikiwa na Walimu maalumu kwa ajli ya kufundisha mazoezi.

Mawasiliano : 0766121281


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com