Kampuni ya Gekail Inter - Trade LTD iliyopo Halmashauri ya Msalala Wilayani Kahama Mkoani Shinyinga Imefungua Gym ya Kisasa Kata ya Bugarama Karibu na Kituo cha Afya cha Bugarama Kakola , Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama Mkoani Shinyanga.
Ina vifaa vya kisasa vya kufanyia mazoezi huku ikiwa na Walimu maalumu kwa ajli ya kufundisha mazoezi.
Mawasiliano : 0766121281
Email info@gekail.co.tz
Social Plugin