Msanii Ng'wana Kang'wa anakualika kutazama Video kuhusu AZAT Hotel
AZAT HOTEL ipo Tinde Shinyanga
Miongoni mwa huduma zinazopatikana AZAT HOTEL ni malazi ,vyakula, vinywaji, Car Parking, ukodishaji wa Tents kwa ajili ya shughuli mbalimbali.
Hakika AZAT HOTEL ni sehemu sahihi yenye mazingira yaliyotulia, huduma zinatolewa kwa gharama nafuu kabisa, wahudumu wakarimu kweli kweli, wanajali wateja , vyumba bora, rafiki na vyenye viwango bora!!
AZAT HOTEL IKO WAPI?
AZAT HOTEL inapatikana Tinde jirani na kituo cha Mzani wa Tinde wilayani Shinyanga pembezoni mwa Barabara Kuu ya Shinyanga.
Mawasiliano ya AZAT HOTEL +255 742 565 555
Social Plugin