Uongozi wa Kampuni ya 𝗔𝗖𝗛𝗜𝗠𝗪𝗘𝗡𝗘 𝗦𝗔𝗙𝗔𝗥𝗜 ikiongozwa na Meneja wake Ndugu Innocent Mbeyela akiwa pamoja na Wafanyakazi wa kampuni hiyo wakati wa zoezi la kutoa msaada kwa wafungwa wa Gereza la Mahabusu Segerea mapema leo Agosti 7, 2024.
Kampuni ya 𝗔𝗖𝗛𝗜𝗠𝗪𝗘𝗡𝗘 𝗦𝗔𝗙𝗔𝗥𝗜 imefanikiwa kutoa msaada wa vitu mbalimbali kama vile Ndoo za plastiki 10, Neti, Cherehani 4, Sabuni na Dawa za Meno.
Lengo la kutoa misaada hiyo ni kurudisha fadhila kwenye jamii ambayo kila siku tunaendelea kuihudumia kupitia huduma za usafirishaji.
𝗔𝗖𝗛𝗜𝗠𝗪𝗘𝗡𝗘 𝗦𝗔𝗙𝗔𝗥𝗜, 𝗡𝗜 𝗗𝗛𝗔𝗛𝗔𝗕𝗨 𝗜𝗡𝗔𝗬𝗢𝗧𝗘𝗠𝗕𝗘𝗔 💎
Social Plugin