Picha : MJADALA WA WAZI ; TATHMINI YA DIRA YA MAENDELEO 2025 NA MAANDALIZI YA DIRA YA TAIFA 2050

Florah Ndaba akielezea kuhusu Tanzania Tuitakayo kuelekea 2050 wakati wa Mjadala wa Wazi : Tathmini ya Dira ya Maendeleo 2025, maandalizi ya Dira ya taifa 2050 wakati wa Tamasha la 7 la Jinsia Ngazi ya Wilaya 2024 ambalo limeendelea leo Jumatano Agosti 28,2024 katika Viwanja vya Sabasaba Kondoa Mkoani Dodoma- Picha na Malunde Media 
Florah Ndaba akielezea kuhusu Tanzania Tuitakayo kuelekea 2050 wakati wa Mjadala wa Wazi : Tathmini ya Dira ya Maendeleo 2025, maandalizi ya Dira ya taifa 2050
Fredina Said akielezea kuhusu mchakato wa maandalizi ya dira ya taifa ya 2050 : Tuko wapi? wakati wa Mjadala wa Wazi : Tathmini ya Dira ya Maendeleo 2025, maandalizi ya Dira ya taifa 2050
Fredina Said akielezea kuhusu mchakato wa maandalizi ya dira ya taifa ya 2050 : Tuko wapi? wakati wa Mjadala wa Wazi : Tathmini ya Dira ya Maendeleo 2025, maandalizi ya Dira ya taifa 2050
Zainab Mmary akielezea kuhusu Tafakuri ya Dira ya Maendeleo 2025 Kijinsia wakati wa Mjadala wa Wazi : Tathmini ya Dira ya Maendeleo 2025, maandalizi ya Dira ya taifa 2050
Zainab Mmary akielezea kuhusu Tafakuri ya Dira ya Maendeleo 2025 Kijinsia wakati wa Mjadala wa Wazi : Tathmini ya Dira ya Maendeleo 2025, maandalizi ya Dira ya taifa 2050
Muwezeshaji wa siku, Schola Mwakwaia akizungumza wakati wa Mjadala wa Wazi : Tathmini ya Dira ya Maendeleo 2025, maandalizi ya Dira ya taifa 2050
Muwezeshaji wa siku, Schola Mwakwaia akizungumza wakati wa Mjadala wa Wazi : Tathmini ya Dira ya Maendeleo 2025, maandalizi ya Dira ya taifa 2050

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post