MATUKIO KATIKA PICHA
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Dk. Jimmy Yonazi.
Na Mwandishi wetu, Dodoma.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Dk.Jimmy Yonazi ameongoza kikao cha Makatibu Wakuu kuhusu Mapitio ya Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto Awamu ya Pili ( MTAKUWWA II 2024/25 - 2028/29).
Kikao hicho kimefanyika leo Agosti 13,2024 k katika ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dodoma.
Social Plugin