DKT. NDUGULILE ASHINDA NAFASI YA MKURUGENZI WHO KANDA YA AFRIKA



Dkt. Faustine Ndugulile, amechaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika katika uchaguzi uliofanyika leo Jumanne, tarehe 27 Agosti 2024 mjini Brazzaville, Jamhuri ya Congo. Dkt. Ndugulile amewashinda wagombea wengine watatu kutoka Senegal, Niger na Rwanda.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post