Michuano ya Dkt. Samia, Katambi Cup inaendelea kutimua vumbi kwenye viwanja mbalimbali ndani ya manispaa ya Shinyanga katika hatua ya 16 bora kuelekea kumtafuta mshindi atakaye jinyakulia Shilingi Milioni 6.
Mashindano hayo yanayoendelea ambapo siku ya leo Agosti 06, 2024 timu ya Jambo Fc imetolewa kwenye mashindano kwa kukubali kichapo kutoka kwa timu ya Mnara wa Voda kwa njia ya mikwaju ya penati iliyochezwa katika uwanja wa Jasko uliopo kata ya Ngokolo.
<<<<TAZAMA PICHA MATUKIO MBALIMBALI>>>>
Mchezo ukiendelea.
Mashabiki waliojitokeza kutazama mchezo huo.
Mashabiki waliojitokeza kutazama mchezo huo.
Mashabiki waliojitokeza kutazama mchezo huo.
Mashabiki waliojitokeza kutazama mchezo huo.
Social Plugin