Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MATI SUPER BRANDS YADHAMINI MAONESHO YA TANZANITE MANYARA TRADE FAIR 2024


Na Mwandishi Wetu ,Manyara .

Kampuni ya Mati Super Brands Limited inayozalisha vinywaji changamshi kupitia kinywaji chake pendwa cha Tanzanite Premium Vodka imedhamini Maonesho ya 3 ya Biashara,Viwanda,Madini na Kilimo ya Tanzanite Premium Vodka yatakayofanyika katika Viwanja vya Tanzanite Kwaraa Stedium Octoba 20-30 mwaka 2024 mjini Babati Mkoani Manyara.
Kwa Upande Wake Afisa Masoko Kampuni ya Mati Super Brands Limited Gwandumi Mpoma amesema kuwa kampuni hiyo imeamua kudhamini maonesho hayo ili kuunga mkono jamii ikiwemo wajasiriamali wadogo na wakati kupata fursa ya kujitangaza kupitia maonesho hayo.

Kauli mbiu ya maonesho hayo ni "Manyara kwa ustawi wa biashara na uwekezaji "

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com