Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

NIMEMFUMANIA MKE WANGU GESTI NA RAFIKI YANGU

Jina langu ni Dominic kutokea Dar es Salaam, mwaka jana nilimfumania mke wangu na jirani yangu ambaye pia alikuwa rafiki yangu mkubwa ambaye tulisaidiana katika mambo mengi.

Ni vigumu kuamini kama rafiki yangu huyo angeweza kunifanyia kitendo cha ajabu na kitia aibu kama hicho.

Mara kwa mara nilikuwa napata habari kutoka kwa watu mbalimbali kuwa mke wangu amekuwa akinisaliti sana.

Kila muda  nilikuwa namuuliza hilo lakini alikuwa anakataa na kusema kamwe hawezi kufanya jambo kama hilo.

Nilianza mchakato wa kumchunguza kwa makini kuhusu mwenendo wake ili niweze kujiridhisha kama ni kweli hayo nayosikia kutoka kwa watu. Lakini kwa bahati mbaya sikufanikiwa kubaini chochote ambacho kimekuwa kinazungumzwa.

Baada ya muda niliamua kuachana na jambo hilo na kuendelea na maisha yangu mengine ya utafutaji. Hata hivyo, bado niliendelea kusikia habari za usaliti anaofanya mke wangu pale mtaani kwetu.

Hakuna kipindi nilipitia changamoto ya kuwa na msongo wa mawazo kama kipindi hicho, maana niliogopa kuchukua uamuzi kwa maneno ya kusikia kwa watu.

Siku moja nilisikia tangazo katika redio kuwa Dr Bokko anatoa huduma ya kubaini iwapo mkeo anakusaliti ndani ya ndoa.

Nilichukua uamuzi wa kuwasiliana naye kupitia namba yake ambaye ni +255618536050 na kumwambia anifanyie huduma hiyo mara moja maana nataka kujua ukweli wa jambo hilo.

Baada ya siku tatu, nilipigiwa simu na rafiki yangu mkubwa na kuniambia kuwa amemuona mke wangu akiingia Gesti na mtu ambaye hajamjua.

Niliamua kwenda kwenye hiyo Gesti ili niweze kujua ukweli wa jambo hilo, basi nilingoja nje na kuwaona wakiwa wanatoka na kumfuata mke wangu, aliponiona na aliishiwa nguvu na kuanza kulia kwa uchungu huku akiomba msamaha.

Yule jamaa aliamua kukimbia kwa aibu ile maana ananijua hivyo aliponiona akajua lazima nitaleta shari. Nilirejea nyumbani na mke wangu na baadaye nikawaita ndugu zake na kuwaelezea jambo hilo.

Tuliyangumza kindugu na kirafiki na kuyamaliza, mke wangu aliahidi kitorudia tena ujinga huo. Nilimwambia kwa sasa nina dawa toka kwa Dr Bokko hivyo atakapo jaribu tu kuchepuka lazima nijue.

Mwisho.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com