AJALI YAUA WATU 11 MBEYA


Picha ya ajali eneo la Lwanjiro wilaya ya Mbeya vijijini.
**
Watu 11 wamefariki dunia na wengine kadhaa wamejuruhiwa huku wakiwa mahututi kwenye ajali ya basi la abiria yenye namba za usajili T282 CXT Kampuni ya AN inayofanya safari zake kutoka Mbeya -Tabora ,eneo la Lwanjiro wilaya ya Mbeya vijijini.

Mganga Mkuu wa wilaya ya Chunya Dr Darson Andrew amesema amepokea majeruhi wanaume sita na wa kike watano.

Chanzo - EATV

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post