Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amegiza Vyombo vya Uchunguzi kumpatia taarifa ya kina haraka kuhusu tukio la mauaji ya Kiongozi wa CHADEMA Ali Kibao na mengine ya namna hiyo.
Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya mauaji ya kiongozi wa CHADEMA Bwana Mohamed Ali Kibao. Natoa pole kwa viongozi wa chama hicho, familia ya Mzee Kibao, ndugu, jamaa na marafiki.
Nimeagiza vyombo vya uchunguzi kuniletea taarifa ya kina kuhusu tukio hili baya kabisa na… pic.twitter.com/nM5uObktUC— Samia Suluhu (@SuluhuSamia) September 8, 2024
Social Plugin