Mkurugenzi wa mradi mkubwa wa Dkt. Manguruwe project Dr Manguruwe ameanza ziara ya kuwaonesha Watanzania na dunia kuhusu ubora na uzuri wa makao makuu ya nchi (DODOMA) ambapo siku ya leo amefika katika maeneo ya mkabala na Ofisi za Zima Moto yaani makao makuu ya Zima Moto Dodoma na kuonesha sehemu za barabara zenye ubora maeneo hayo.
Aidha amempongeza Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan Kwa ujenzi wa barabara hizo.
@malundeblog Mkurugenzi @drmanguruwe wa mradi mkubwa @drmanguruweproject ameanza ziara ya kuwaonesha Watanzania na dunia kiujumla ubora na uzuri wa Makao makuu ya Nchi (DODOMA) ambapo siku ya leo amefika katika maeneo ya mkabala na Ofisi za Zima Moto yani makao makuu ya Zima Moto Dodoma nakuonesha Sehemu za barabara zenye ubora maeneo hayo. Aidha amempongeza Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr @samia_suluhu_hassan Kwa ujenzi wa barabara hizo. @tanroadshq @ikulu_mawasiliano Follow now @drmanguruwe and @drmanguruweproject kwa Taarifa mbaliambali za Drmanguruwe na mradi. #diamondplatnumz #harmonizacaofacial #trendingreels #reels #tanroadstanzania ♬ original sound - Malunde
Social Plugin