“Tatizo jingine ndugu zangu ninalotaka kuwaambia ni uchomaji wa moto. Jamaa zangu mmezidi kuchoma moto. Mkichoma moto mnaharibu misitu. Mkichoma moto mpaka pembeni kwa barabara humo ukipita moto unawaka. Lami ile ikipata moto inayeyuka barabara zinaharibika,” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Social Plugin