BENKI KUU YA TANZANIA YASEMA TAARIFA YA NOTI MPYA YA SHILINGI ELFU KUMI NI UONGO..IPUUZWE
Sunday, September 22, 2024
Kumekuwa na taarifa inahusu
Muonekano wa series ya noti mpya ya shilingi elfu kumi ambazo zinatarajiwa kutumika hivi karibuni.
Benki Kuu ya Tanzania imetoa taarifa kwamba hiyo Taarifa ni Uongo Ipuuzwe.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin