Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AMTEMBELEA BABA ASKOFU MKUU DAMIAN DALLU WA JIMBO KUU KATOLIKI LA SONGEA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemtembelea Askofu Mkuu wa Jimbo kuu Katoliki la Songea Baba Askofu Damian Dallu katika makazi yake yaliyopo Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Songea la Mtakatifu Mathias Mulumba Kalemba tarehe 23 Septemba, 2024.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com