SEWA BUSINESS GALA SEPTEMBER 27, 2024
----------------------------------------------
Tamasha hili la Biashara na Burudani litafanyika katika Manispaa ya Kahama Mkoa wa Shinyanga kuanzia saa 10:00 jioni mpaka saa 6 usiku siku ya Ijumaa Tarehe 27/9/2024
✅Ni tukio la kijamii lenye lengo la kuleta elimu ya Biashara na Fedha ili kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja, familia na Taifa kwa ujumla🙏
WALENGWA
Ni JAMII nzima. wafanyabiashara/wajasiriamali wadogo, wa kati na wakubwa
VIINGILIO👇🏽
👉Viti kawaida Tsh 20,000/=
👉Single V.I.P Tsh 30,000/=
👉Double V I.P Tsh 50,000/=
👉Men round table watu 5 ( Tsh 400,000/=)
👉Women round table watu 5 (400,000/=)
👉MEZA watu 10 (Tsh 700,000/=)
VINYWAJI NA CHAKULA VITAKUWEPO
Kutakuwa na mahema maalumu kwa wafanyabiashara/wajasiriamali kuonyesha na kuuza bidhaa zao na tents ni Tsh 50,000/= JISAJILI MAPEMA
Thibitisha ushiriki wako kwa 0763 595 927📞
KuzaBiashara💰 SimamishaUchumi💰
Social Plugin