Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. SAMIA ATEMBELEA KANISA LA MT. BENEDICTO, PAROKIA YA PERAMIHO, JIMBO KUU LA SONGEA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Watawa wa Shirika la Benedicto wa Tutzing mara baada ya kutembelea Kanisa la Mt. Benedicto, Parokia ya Peramiho, Jimbo Kuu la Songea mkoani Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2024.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watawa wa Shirika la Benedicto wa Tutzing mara baada ya kutembelea Kanisa la Mt. Benedicto, Parokia ya Peramiho, Jimbo Kuu la Songea mkoani Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya historia ya Kanisa kutoka kwa   Padre Fredrick Mwabena OSB alipotembelea Kanisa la Mt. Benedicto, Parokia ya Peramiho, Jimbo Kuu la Songea mkoani Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2024.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com