Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AFUNGUA SOKO LA MADINI, WILAYANI TUNDURU MKOA WA RUVUMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Soko la Madini katika Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma tarehe 26 Septemba, 2024.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Soko la Madini katika Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma tarehe 26 Septemba, 2024.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com