"Suala la kuchanganya picha za kuzusha zinazorushwa katika mitandao. Ndugu zangu Watanzania, kama kunarushwa picha ya uongo katika mitandao. Katika maeneo yenu kuna wakuu mbalimbali wapo, lakini hakuna anayekanusha kwamba hiyo picha siyo ya leo, kwamba hiyo hospitali au hilo eneo sasa hivi liko kwenye hali hii na ikapigwa picha ikaingizwa kuondoa ule upotovu uliofanywa, sijui tunaelekea wapi. Kwamba mpaka aje Rais na Mawaziri wasimame wakanushe wakati mnaozuliwa hiyo hali mpo, hii siyo sawa,” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan
Social Plugin