DAWASA Mtaa kwa Mtaa ipo Wilaya ya Kiondoni katika kata za Goba na Wazo kuanzia tarehe 19 - 21 Septemba 2024.
Huduma zinazopatikana katika Dawati ni pamoja na;
☑️Kupokea maombi ya huduma za Maji
☑️Kutoa Kumbukumbu namba (Control namba) kwa wateja waliokamilisha taratibu za kupata huduma ya Maji
☑️ Kutatua changamoto za ankara ya maji
☑️kupokea taarifa za uvujaji wa miundombinu ya maji
☑️Kushughulikia changamoto za ukosefu wa huduma ya maji,
☑️ Kurejesha huduma kwa wateja waliomaliza madeni ya huduma za maji
Wananchi maeneo yafuatayo mnakaribishwa Madale, Mivumoni, Kilimahewa, Modemba, Nyakasangwe, kazi moto, Sandawe, Uzunguni na Tegeta A
Dawati la DAWASA lipi eneo la Wazo katika Tanki la Maji mkabala na Supermarket ya Viva.
Social Plugin